Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sana Sadio[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sadio Mane (Mabao 50+)
Katika pambano la Ligi kuu kati ya Liverpool dhidi ya Cardiff City Oktoba mwaka huu, Mane alifunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 4-1. Kwa kufanya hivyo, Mane alikuwa mchezaji wa saba kutoka Afrika kufikisha mabao 50. Mabao mengine alifunga na klabu ya Southampton. Katika pambano dhidi ya Fulham Machi mwaka huu Mane alifunga bao moja na kwa kufanya hivyo aliweka pia rekodi ya kuwa mchezaji wa Senegal aliyefunga mabao mengi ndani ya msimu mmoja.
FIFA World Cup 1994 America.Efan Ekoku (Mabao 52)
Staa wa zamani wa kimataifa wa Nigeria ambaye ni mzaliwa wa Manchester. Aliamua kuitosa England na kukipiga katika Timu ya Taifa ya Nigeria na ndio maana anaingia katika orodha hii. Ekoku ambaye enzi zake alitamba na klabu ya ‘kihuni’ Wimbledon iliyokuwa ikijulikana kama Crazy Gang alikuwa mchezaji wa kwanza kutoka Afrika kufikisha mabao 50.
Mzaramo kwenye Ubora wake[emoji23][emoji23]Ana maneno dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Olympic Gold medal of football 1996.Nwankwo Kanu (Mabao 54)
Mmoja kati ya washambuliaji bora kutoka Bara la Afrika ambao waliheshimika Ulaya. Alicheza klabu tatu tofauti Ligi Kuu England zikiwa ni Arsenal iliyomleta kutoka Inter Milan, West Bromwich na Portsmouth alitwaa nayo taji la FA.
Asante YayaYaya Toure (Mabao 62)
Ndiye kiungo wa Afrika aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia ya Ligi Kuu England
Shukrani sanaMOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India tutaendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. Wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo. Miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019
Wasiliana nasi kupitia:
0767-431247
0713-380989
0717-284499
0759-505060
Matatizo ya kfamilia yameathiri uwezo wake staa huyuEmmanuel Adebayor
Huyu alibakiza mabao matatu tu afikishe mabao 100. Licha ya kuwa na utata mwingi nje ya uwanja lakini staa huyu wa kimataifa wa Togo alikuwa mbaya mbele ya lango. Alifunga mabao 97 akiwa na klabu za Arsenal, Manchester City, Spurs na Crystal Palace.