Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Refa huyo mstaafu alisema Dean ni mtu mwenye mapenzi makubwa na mchezo wa soka na ndio maana kuna nyakati nyingine amekuwa akishangilia mabao hasa pale linapofungwa akiwa ameruhusu mchezo uendelee kama timu inayoshambulia kuna mchezaji wao amefanyiwa madhambi.
 
Achana na mambo hayo ya Dean kwamba wakati mwingine amekuwa akishangilia mabao kwenye mechi, ishu ni hizi kadi zake 100 nyekundu alizowaonyesha wanasoka kwenye Ligi Kuu England na hivi ndivyo ilivyokuwa.
 
Hivi hapa namba kwa namba kuhusu kadi 100 nyekundu za Mike Dean Ligi Kuu England.
 
Lol!! Kwamba hata ukikoment upuuzi unapewa like! Hapo maana ya like inakuwepo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…