Rekodi ya ajabuJUMANNE iliyopita, Mike Dean aliingia kwenye rekodi za kuwa mwamuzi wa kwanza kwenye Ligi Kuu England kuonyesha kadi nyekundu 100, wakati alipomwonyesha beki wa kulia wa Manchester United, Ashley Young.
Haipo maana kuna thanksLol!! Kwamba hata ukikoment upuuzi unapewa like! Hapo maana ya like inakuwepo kweli?
Hahahaahahaha[emoji16][emoji16][emoji16] yani mnafungwa halafu refa anashangilia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wakati hilo la kadi nyekundu 100 za Dean alizoonyesha kwenye Ligi Kuu England ambako amekuwa refa kwa karibu miaka 20, kuna mwamuzi mstaafu, Peter Walton amefichua na kusema kuna nyakati hizo Dean amekuwa akishangilia mabao uwanjani.
ahahahahaha shuain kabisa huyo refaHahahaahahaha[emoji16][emoji16][emoji16] yani mnafungwa halafu refa anashangilia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol!! Kwamba hata ukikoment upuuzi unapewa like! Hapo maana ya like inakuwepo kweli?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hizo siyo sehemu za siri hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Refa huyo angekuja achezeshe Simba na Yanga tungemgawanya vipandeRefa huyo mstaafu alisema Dean ni mtu mwenye mapenzi makubwa na mchezo wa soka na ndio maana kuna nyakati nyingine amekuwa akishangilia mabao hasa pale linapofungwa akiwa ameruhusu mchezo uendelee kama timu inayoshambulia kuna mchezaji wao amefanyiwa madhambi.