gemplatnumz
Senior Member
- Jan 24, 2017
- 133
- 371
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Mtamkorofisha Numby sasa hivi ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanafanana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasiojulikana wamefanya yao[emoji849][emoji849]Huyu binti jamani kapotelea wapi? View attachment 1062187
Astaghafirullah
DuuSRI LANKA: WATU 47 WAOMBA KAZI YA KUNYONGA WAFUNGWA
.nione Mkurugenzi ananiomba hizo hela (ushuru wa mauzo ya korosho) kama ataendelea kuwa Mkurugenzi..." -kauli ya Rais Magufuli, akikataa kulipa kodi za mauzo ya korosho kwa halmashauri za Mtwara.
Mgonjwa mahututi lakini bado anautamani urasi, shwaini zakeAlgeria's President Abdelaziz Bouteflika resigns
Tunamzimikia lakini ni kikongwe [emoji16][emoji16].Kumbe mnamzimikia eee..
sasa mnamzeeshea nini dada wa watu..
Mgogoro wa kikatiba.CAG Prof. Assad: Kimfumo tunaweza kuwa na mgongano wa kikatiba, ripoti imeshawasilishwa kwa Rais na mimi siwasilishi ripoti bungeni, Rais atasababisha ripoti hiyo iende bungeni na kama bunge likikataa kuipokea hilo ni tatizo kubwa zaidi.
Hakuna ugumu wo wote. Si ajabu anawatafuna tu kimya kimya. Ogopa sana simba mnyatiaji [emoji16][emoji16][emoji16]Daah, aisee! Poti anaheshimu miiko na masharti ya kuwa MGUMU, na anayazingatia haswa! [emoji1][emoji1]
Hahahahahaaha[emoji16][emoji16].Hana,first born wake ndo kwanza yupo sekondari kijana
Hata hili nalo litapita na kuja jingine. Kiki bin kiki bin kiki wa kiki...
Hahahahaha, vuta subira nawe utamfikia kibibi Zari, usiwe na haraka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamekariri maisha. Sijaona uzee wa Zari yaan nataman kuzeeka kama yeye raha sana
Zari huyooo!!View attachment 1062215
Mamiguu yaani dah. Huyu hata azeeke namna gani hata siku moja hatakaa azeeke maini...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kilwa Kivinje hiyo mkuuDuh!!! Wapi hiyo
FATMA KARUME:Bunge letu ni dhaifu tena narudia kusema ni dhaifu, kitendo cha kusema halifanyii kazi ripoti ya CAG ni kushindwa kufanya majukumu yake kikatiba na natamani hili bunge livunjwe kwa sababu limeshindwa kuisimamia serikali