Sina chuki na mtu numbisa, natania tu. Sina mapenzi wala chuki na wasanii wa Tanzania.Aiseee unachuki mbaya. Uwoya first born wake yupo sekondary full kumsifia bado anaita. Leave Zari alone. Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo moud
SawaSina chuki na mtu numbisa, natania tu. Sina mapenzi wala chuki na wasanii wa Tanzania.
Wote nawachukulia poa na wala habari zao huwa sizijui maana sifuatiliagi zaidi ya kuona picha zao mtandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app