Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paris St-Germain wapo tayari kumlipa kipa David de Gea, 28, mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki. Kipa huyo wa Manchester United bado hajasaini mkataba mpya na klabu yake na inaaminika kuwa kiwango cha mshahara ndicho kinacho chelewesha kusainiwa kwa makubaliano mapaya. (Independent)
Sasa na uyu akiondoka si ndo man u itaisha kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend
FB_IMG_1554501540386.jpeg
 
Back
Top Bottom