Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daktari wa macho anasemaje?

Mtaalamu wa macho kutoka Ona Family Eye Center, Dk Anna Gernanus anasema yapo madhara yanayoweza kuwapata watu wanaobandika kope hasa kupoteza uwezo wa kuona baadaye.

Anasema licha ya urembo huo kushika kasi, kitu kinachowafanya watu kupata madhara ni kutoangalia athari za jambo kabla ya kuiga.
 
Hivyo unapoanza kubandika kope kwa kutumia gundi mbalimbali ambazo zimeongezewa kemikali zikiingia katika macho upo uwezekano wa kusababisha matatizo mengi hasa kuathiri sehemu ya ndani ya jicho ambayo inakufanya uone vizuri.
 
Dalili hii mara nyingi hutokea zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Japo ni kawaida kupata uchovu kutokana na shughuli mbalimbali tunazozifanya kila siku ambazo zinatumia nguvu kubwa za mwili au pia zinatumia akili nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…