Ni poa kabisa mzee wa chelsea
Mkuu hii husababishwa na nin ..mim hunitokea kwa kipind ila huisha yenyewe.Wakati mwingine mtu anaweza kupata hali isiyo ya kawaida wakati wa kupumua hasa kuvuta hewa.
Haha aina noma mzee mama.Ni poa kabisa mzee wa chelsea
Sasa na uyu akiondoka si ndo man u itaisha kabisa mkuu.Paris St-Germain wapo tayari kumlipa kipa David de Gea, 28, mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki. Kipa huyo wa Manchester United bado hajasaini mkataba mpya na klabu yake na inaaminika kuwa kiwango cha mshahara ndicho kinacho chelewesha kusainiwa kwa makubaliano mapaya. (Independent)
Ankoo, hivi li-Uwoya lina watoto wangapi? Lina mkiuono balaaAiseee unachuki mbaya. Uwoya first born wake yupo sekondary full kumsifia bado anaita. Leave Zari alone. Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo moud
Hamnaga hio timu itayumba ila itaendelea tu
Ni kaupepo tu katapitaHaha aina noma mzee mama.
Ole wetu kapatwa na nini.? mambo yanataka kumyumbia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisahau hata kukusalimia Anko, hujambo mama?Aiseee unachuki mbaya. Uwoya first born wake yupo sekondary full kumsifia bado anaita. Leave Zari alone. Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo moud
Ka moja tu kale katoto ka dude opsss ka ndikuAnkoo, hivi li-Uwoya lina watoto wangapi? Lina mkiuono balaa
Hahahahah sijambo anko,shikamoo.Nilisahau hata kukusalimia Anko, hujambo mama?
Haya mambo ya kupenda sana minaniliuu haya....
Dalili ya ugonjwa wa moyoMkuu hii husababishwa na nin ..mim hunitokea kwa kipind ila huisha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari bro.Kwa wale woote tunao kiri kusimama na CAG tunapaswa sign hii petition. Ni muhimu.
View attachment 1063868
Ha hahTayari bro.
Nimeona jina lako paleeeee😀😀😀