myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Gemu ni leo?Simba Simba Simba Simba....
Ndio. Munyama anapigwa leoGemu ni leo?
Fuatilia mapema bro. Nenda hospitali ya maana kamweleze daktari akufanyie uchunguzi comprehensive. Muhimu sana hii bro ili kama kuna ishu kwenye moyo waishughulikie mapema ungali kijana.Mkuu hii husababishwa na nin ..mim hunitokea kwa kipind ila huisha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniii...Ndio. Munyama anapigwa leo
Halafu lilivyo sasa. Yaani lipo lipo tu na mimacho yake milegevu legevu uso mweupe na tabasamu la kishikaji. Lizuri sana kwa kweli...Ankoo, hivi li-Uwoya lina watoto wangapi? Lina mkiuono balaa
Mimi niliweka angalizo kule kuwa wasipojiangalia watakutibua. Naona sikueleweka [emoji16][emoji16][emoji16]Aiseee unachuki mbaya. Uwoya first born wake yupo sekondary full kumsifia bado anaita. Leave Zari alone. Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo moud
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niliweka angalizo kule kuwa wasipojiangalia watakutibua. Naona sikueleweka [emoji16][emoji16][emoji16]
That was a joke bro, japo uwezekano mkubwa lipo pale.Ha hah
Jina langu unalijuaa??