Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na katika siku za karibuni nyota wa Manchester United Paul Pogba aliweka wazi kwamba ndoto zake ni kuchezea kikosi cha Real Madrid siku moja na suala la kudai Pauni 500,000 kwa wiki kama mshahara linaonekana kama ni mbinu ya kutaka kuondoka kambi ya Old Trafford.
 
Habari kutoka Real zinasema kwamba klabu hiyo ipo tayari kutoa Pauni 125 milioni kwa ajili ya kumnasa Pogba katika dirisha la usajili linalokuja. Hata hivyo Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer wiki iliyopita alisema kuwa mchezaji huyo haendi kokote.
 
Wanafahamu kuwa kabla ya kupata watu wa uhakikika inabidi mkononi wawe na kiasi cha Pauni 200 milioni. Kutokana na suala hilo, basi maisha ya Philippe Coutinho, Ivan Rakitic na Samuel Umtiti yanakuwa katika hatihati.
 
Wachezaji wengine wa kikosi cha kwamba ambao wana wasiwasi kama wataendelea kuwa katika timu hiyo ni Jasper Cillessen, Rafinha na Malcom. Imefahamika kwamba wachezaji hao wanaweza kuuzwa kwa kiasi kikubwa cha pesa na kuiingizia faida klabu.
 
Theo Walcon

Everton

MAMBO yamekuwa magumu kwa kiungo wa zamani wa Arsenal, Theo Walcott na klabu yake ya sasa ya Everton inafikiria kumuuza.

Walcott aliyekuwa akiwekwa benchi na Arsene Wenger ameshindwa kutengeneza namba ya kudumu Goodison Park na katika kipindi cha mwezi, na mara ya mwisho alicheza dakika 16 kwenye dabi ya Merseyside Machi 3.

Walcott pia amefunga bao moja tu tangu Agosti kiasi cha kocha wake kushindwa kumwamini kikosini.
 
Back
Top Bottom