Muda wa fungate umeisha. Reality is now setting in. Matatizo aliyoyaacha mtangulizi wake lazima yajitokeze kwa sababu hayajatatuliwa.Haha aina noma mzee mama.
Ole wetu kapatwa na nini.? mambo yanataka kumyumbia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka uyanga pembeni Esta πππββοΈπββοΈπββοΈNdio. Munyama anapigwa leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama utaifa nilishindwa sembuse uyanga uwiiiiiWeka uyanga pembeni Esta πππββοΈπββοΈπββοΈ
Esta ni mpenzi wa baadhi ya bolingo za kikongoJamaniii...
Ina maana uko na Wakongo?
Gemu saa ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Esta ni mpenzi wa baadhi ya bolingo za kikongo