Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] usalama ni mdogo sana mkuu.Lakini ni salama? Naona kuna dogo juu huko ghorofani anapunga upepo bila wasiwasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeligundua hilo baadaye nilipoona uwanja wa wachovu wa Livapuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1064122
Ulienda kuwapokea airport lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo na yanga mie,simba wakishinda wana kelele mno
Sijui saa ngapi labda jion hii
Wangekua Man u hapo sawaUlienda kuwapokea airport lakini?
Man U nanyi mkishindaga makelele yake Simba na Haji Manara wao cha mtoto. Nafurahi mmeanza kugongwa na makelele ya Ole Gunnar yameanza kupungua. Kila siku ilikuwa Ole Gunnar avunja rekodi hii, mara hivi. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Wangekua Man u hapo sawa