Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Za kupotea?The world as we have created it is a process of our thinking. It cannot be changed without changing our thinking
Za kupotea?The world as we have created it is a process of our thinking. It cannot be changed without changing our thinking
Nzuri.. nimetengeneza fedha ya kutosha kula bataZa kupotea?
Nao wanahangaika na jiwe lao huko. Ni hovyo mno.
Uko poa? NimewamissZa kupotea?
ahahahhahahahhaaMan U nanyi mkishindaga makelele yake Simba na Haji Manara wao cha mtoto. Nafurahi mmeanza kugongwa na makelele ya Ole Gunnar yameanza kupungua. Kila siku ilikuwa Ole Gunnar avunja rekodi hii, mara hivi. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo bata unamlia kwako au viwanja? Hualiki walaji?Nzuri.. nimetengeneza fedha ya kutosha kula bata
Hapa nadhani wote tuko salama. Karibu tena. You were missed too. Terribly!!!Uko poa? Nimewamiss
Hawa nao wamezidi. Halafu wala hawatimizi ahadi zao.![]()
Simba ikiifunga TP Mazembe natembea uchi Mabibo
www.jamiiforums.com
Thank you 🙏Hapa nadhani wote tuko salama. Karibu tena. You were missed too. Terribly!!!
Ntaalika wana likes wote...Huyo bata unamlia kwako au viwanja? Hualiki walaji?
Tunaomba kusikia sauti ya Ankooo pulizi...ifu posibo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]![]()
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1064122
At least we know who profits from the whole business