Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye sayari hii mambo ni mengi muda ni mchache....Duh aiseee
ScaryNilitaka nikuwekee umeniwahi. Ubuyu mkali. Jamaa alimtaja mhusika kwenye skrinishoti kwa bahati mbaya japo nilichelewa. JF hapa kazi kweli kweli. Ni bora kuwa ngangari kama chuma cha Mjerumani aisee. Panatisha !!!
Cheki hii commentKwenye sayari hii mambo ni mengi muda ni mchache....
Will do that [emoji41][emoji41]Unapenda Music sana. Fanya kitu kuhusu Music.
Kazi ipoooo...Cheki hii comment
SingleFather
JF-Expert Member
Today at 3:45 PM
New
Add bookmark
#4
Duh! Kwahiyo sasa huyo Rocky alikua anataka akakubandue au umbandue yeye?
Ametajwa! ebana eee. si atamharibia hadi ndoa yakeWaliowahi wahi waliinyaka kabla scrinishoti haijaondolewa na mods. Wanasema ni jamaa mkongwe na femazi sana hapa...
Ahsante ankoo, kuna uzi nimeuona sijui bado upo? Kuna jibaba la A town eti ni shoga alikuwa anamtongoza kijana wa Roki site, kijana kamwaga sikirini shoti zote hadi za kuitana kwenda kubinjuana. Raia wamefungua code mapemaaaa nikabaki mimi tu...Kutana na TAPELI wa firushi vya Mitandao 0625909537 anasema kule insta kuna tapeli anajitangaza page maarufu,anatumia namba hio,huyu jamaa anajitapa kukuunga mitandao ypte GB hadi dakika na sms ila ukimtumia pesa imekula kwako
Hahahaha anko bana
Ankoo....Tumefahamiana JF, anataka tulale chumba kimoja - JamiiForums
Habari wakuu. Nimeona nilete kisa hiki huku Jukwaani tujifunze zaidi. Ilikuwa ni March kule jukwaa la wakubwa nilipost content fulani ya kikubwa ikiwa na title "Viuno Kidogo" baada ya siku kadhaa akaja jamaa PM akiniambia kuwa nimpe namba ya whatsapp anahitaji nimtumie hiyo clip kwa urefu...www.jamiiforums.com