Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilitaka nikuwekee umeniwahi. Ubuyu mkali. Jamaa alimtaja mhusika kwenye skrinishoti kwa bahati mbaya japo nilichelewa. JF hapa kazi kweli kweli. Ni bora kuwa ngangari kama chuma cha Mjerumani aisee. Panatisha !!!
We ukigundua mumeo tena mliyezaa naye watoto wanne kuwa ni shoga kama huyo jamaa utamuacha au utakausha na kuyamaliza kifamikia? Marekani kulikuwa na mchungaji mmoja wa kilokole tena mwenye upako balaa (Ted Haggard) alikuja kuwa outed na mashoga. Mke wake alimsamehe na japo aliahidi kuacha baadaye tena alichiti...you guessed it...na mashoga. Mkewe hakumuacha. You think you can have that kind of forgiveness?Ametajwa! ebana eee. si atamharibia hadi ndoa yake
Aisee mmeleta huku baada ya kufutwa kule
What? Mr. R. Unamaanisha nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi niliona tu Mr. R... hata sikuelewa kitu, watu wakalinganisha hadi avatar ya humu
Bora achiti na wanawake aisee.. na mijibaba atakuja hadi wageuza watoto wa kiume...We ukigundua mumeo tena mliyezaa naye watoto wanne kuwa ni shoga kama huyo jamaa utamuacha au utakausha na kuyamaliza kifamikia? Marekani kulikuwa na mchungaji mmoja wa kilokole tena mwenye upako balaa (Ted Haggard) alikuja kuwa outed na mashoga. Mke wake alimsamehe na japo aliahidi kuacha baadaye tena alichiti...you guessed it...na mashoga. Mkewe hakumuacha. You think you can have that kind of forgiveness?