Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee wabheja. Na zenyewe nimeshatupia hapaNdo maana nakupenda! Tumemiss Screenshot thou
Aisee wabheja. Na zenyewe nimeshatupia hapaNdo maana nakupenda! Tumemiss Screenshot thou
Mods wanazingatia kanuni. Vinginevyo itakuwa uwanja wa kukomoana na kuchafuana...Mods Wanazingua, hawa watu ni waharibifu katika jamii zetu. Kuwa expose muhimu,.
No learner's permit allowed...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1065164
Tafadhali nizione,Aisee wabheja. Na zenyewe nimeshatupia hapa
Si muongeleshane Kihaya chenu? Kha !!!Aisee wabheja. Na zenyewe nimeshatupia hapa
Unajua mbali na CHADEMA, watu wengi walitaka Katiba Mpya kwasababu walikuwa wanamkomoa Jakaya: Siasa za makundi zilizojijenga mwaka 2005. Huwezi amini hadi Magufuli alikuwa anaunga mkono serikali tatu kwasababu ya kukomoa kundi la Jakaya, lakini baadae Chama kikawalazimu kuunga mkono serikali mbili.Huyu na yule Bashiru wakiwa nje ya Serikali/ccm huwa wanatumia akili zao kila wanapoongea wakishaingia huko kwa mazwazwa basi na wao huamua kuwa mazwazwa kwa kujitoa ufahamu.
Tuachie tunaojua mahali pa kumpeleka...Jimama la uhakika lipole lilaini la motooo. Yaani hapo ni kuhondomola tu ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16]Ha hah
Nampeleka wapi huyu
Ankooo mambo ya ubuyuAnkoo....
Ku expose kwa facts si tatizo, kimsingi watu wachafu style hii hawatakiwi kukingiwa kifua.Mods wanazingatia kanuni. Vinginevyo itakuwa uwanja wa kukomoana na kuchafuana...
Tuachie tunaojua pa kumpeleka...[emoji16][emoji16][emoji16]
Loh!!What? Mr. R. Unamaanisha nini?
Huko mbele moto uliwaka mpaka wakaanza kumtaja (kwa code) jamaa mmoja ana mapovu balaa ukiingia kwenye anga zake kwamba kuna mayanki walishamkonki konki...Ilikuwa lazima uzi ufutwe...
Ulaini hapo uko kwa wapi?Tuachie tunaojua mahali pa kumpeleka...Jimama la uhakika lipole lilaini la motooo. Yaani hapo ni kuhondomola tu ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahhahhaaSi muongeleshane Kihaya chenu? Kha !!!
Badala ya wabheja sema wakora [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hapana. Kanuni ni kanuni. Tatizo habari kama hizi huwezi kuzithibitisha. Mtu anaweza kuwa na bifu na wewe akaja hapa kukuanzishia uzi...na facts ni kama kimiminiko. Kuna za kupikwa pia. Na zilizotiwa chumvi ili zivutie upande mmoja.Ku expose kwa facts si tatizo, kimsingi watu wachafu style hii hawatakiwi kukingiwa kifua.
AiseeWaliowahi wahi waliinyaka kabla scrinishoti haijaondolewa na mods. Wanasema ni jamaa mkongwe na femazi sana hapa...
Haya mambo ni kila mtu na lwake bro. It is that simple [emoji16][emoji16][emoji16]Ha hah
Nakukubali sana Bro,
Hahahaaaa aku sina Fuso mieNjoo nikuonyeshe....
Rudi kinyume nyume huku unalaiki utaziona skrinishotiTafadhali nizione,