Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilitaka nikuwekee umeniwahi. Ubuyu mkali. Jamaa alimtaja mhusika kwenye skrinishoti kwa bahati mbaya japo nilichelewa. JF hapa kazi kweli kweli. Ni bora kuwa ngangari kama chuma cha Mjerumani aisee. Panatisha !!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi niliona tu Mr. R... hata sikuelewa kitu, watu wakalinganisha hadi avatar ya humu
 
Ametajwa! ebana eee. si atamharibia hadi ndoa yake
We ukigundua mumeo tena mliyezaa naye watoto wanne kuwa ni shoga kama huyo jamaa utamuacha au utakausha na kuyamaliza kifamikia? Marekani kulikuwa na mchungaji mmoja wa kilokole tena mwenye upako balaa (Ted Haggard) alikuja kuwa outed na mashoga. Mke wake alimsamehe na japo aliahidi kuacha baadaye tena alichiti...you guessed it...na mashoga. Mkewe hakumuacha. You think you can have that kind of forgiveness?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi niliona tu Mr. R... hata sikuelewa kitu, watu wakalinganisha hadi avatar ya humu
What? Mr. R. Unamaanisha nini?

Huko mbele moto uliwaka mpaka wakaanza kumtaja (kwa code) jamaa mmoja ana mapovu balaa ukiingia kwenye anga zake kwamba kuna mayanki walishamkonki konki...Ilikuwa lazima uzi ufutwe...
 
Bora achiti na wanawake aisee.. na mijibaba atakuja hadi wageuza watoto wa kiume...
Na mwenyewe marinda lazima yawe matatani😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…