Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu na yule Bashiru wakiwa nje ya Serikali/ccm huwa wanatumia akili zao kila wanapoongea wakishaingia huko kwa mazwazwa basi na wao huamua kuwa mazwazwa kwa kujitoa ufahamu.

Unajua mbali na CHADEMA, watu wengi walitaka Katiba Mpya kwasababu walikuwa wanamkomoa Jakaya: Siasa za makundi zilizojijenga mwaka 2005. Huwezi amini hadi Magufuli alikuwa anaunga mkono serikali tatu kwasababu ya kukomoa kundi la Jakaya, lakini baadae Chama kikawalazimu kuunga mkono serikali mbili.

Kama wangekuwa na nia njema basi kuna vipengele vingi tu vya katiba mbali na muundo wa muungano wangevipitisha. Ila mpaka leo Katiba mpy iko stoo inaona ukungu tu.

Siasa za makundi ni mbaya sana sana kwa afya ya taifa.
 
Ku expose kwa facts si tatizo, kimsingi watu wachafu style hii hawatakiwi kukingiwa kifua.
Hapana. Kanuni ni kanuni. Tatizo habari kama hizi huwezi kuzithibitisha. Mtu anaweza kuwa na bifu na wewe akaja hapa kukuanzishia uzi...na facts ni kama kimiminiko. Kuna za kupikwa pia. Na zilizotiwa chumvi ili zivutie upande mmoja.

Katiba na sheria ni lazima ziheshimiwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…