Tunaomba umrudishe Carba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wahenga wanasema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Hapo bora sepenga anayewekaga waziHivi huyu dada ana nuksi gani aisee anaonekana yuko vizuri ana jielewa.Mungu ampe hitaji lake.
Ucelebrity uchwara ndo ulikuwa unamsumbua. Sasa akitulia ataolewa tu. Macelebrity hawa wa kwetu kuolewa na kutulia kwenye ndoa ni nadra.Hivi huyu dada ana nuksi gani aisee anaonekana yuko vizuri ana jielewa.Mungu ampe hitaji lake.
Tunaomba umrudishe Carba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Inawezekana huyu Jojo anaweza kuwa na uchafu zaidi ya WemaWahenga wanasema jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Hapo bora sepenga anayewekaga wazi
Jojo namkubali mpambanaji mnoUcelebrity uchwara ndo ulikuwa unamsumbua. Sasa akitulia ataolewa tu. Macelebrity hawa wa kwetu kuolewa na kutulia kwenye ndoa ni nadra.