Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wamepiga makelele eti Wanyakyusa waondolewe kwenye orodha hii (unless kama uzuri ni misambwanda pekee) na Wanyiramba na Wambulu waongezwe...View attachment 1067113
Hahaha huu uzi ni batiri bro,sijui wametumia vigezo gani hapo kuwaweka Wanyakyusa,Wapare half wakawasahau Wanyiramba,Wairaq,,,huu uzi ni[emoji706][emoji706][emoji706]

Aliyeweka huu uzi atakuwa hajatembelea hyo mikoa,,pia sio Wanyakyusa pekee walioharbu hali ya hewa hapa,hata British Kingdom pia[emoji23][emoji23](sio kwa ubaya)
 

Watu wamelalamika sana tena kwa hisia kali. Wanyiramba nilikuwa sijui kuwa ni wakali. Wairaqw hao nawajua...British Kingdom labda mamiguu na misambwanda na weusi wao wa asili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…