Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema mkuu??Hee Simba anawakimbia Fisi
Tunapenda feki?Nyinyi si mnapenda feki lazima wanawake baadhi wajiongeze
Kwema brother habari za kunyumbaKwema mkuu??
Fisi hawana cha msalie mtume. Wakiwa wengi hata simba wanaweza kumuuaHee Simba anawakimbia Fisi
Asilimia mia nina uhakika.Tunapenda feki?
Una uhakika na hili hitimisho lako?
Salama kabsa,habar za huko?unaendeleaje na uwapendao??Kwema brother habari za kunyumba
Basi sawa [emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122]Asilimia mia nina uhakika.
Hata sijui wanaendeleaje ninao wapendaSalama kabsa,habar za huko?unaendeleaje na uwapendao??
Ni kawaida tu hiyo[emoji16], kila mmoja ana mjanja wakeHee Simba anawakimbia Fisi
Kwann??upo nao mbali?Hata sijui wanaendeleaje ninao wapenda
Aisee ubarikiwe nimejifunza kituFisi hawana cha msalie mtume. Wakiwa wengi hata simba wanaweza kumuua
Yes niko mbali naoKwann??upo nao mbali?