Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki kisiki wa Liverpool Virgil van Dijk amempigia kura mchezaji wa Manchester City Raheem Sterling kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Ligi kuu ya Uingereza na amesema kwamba kuna baadhi ya wachezaji wa City angeweza kuwapigia kura pia.
 
Nafikiri ni muda sahihi wa kung'atuka. Nimekuwa nikifanya hivi kwa miaka 20 sasa." Alisema Karl Heinz ambaye katika ujana wake aliichezea klabu hiyo na kushinda taji moja la dunia, mawili ya Ulaya, makombe mawili ya Bundesliga na mawili ya michuano ya ndani.
 
Shearer anasema kuwa haoni Manchester City ikichukua makombe manne msimu huu hasa kombe la ligi ya mabingwa Ulaya ambapo kwa yeye anaona uwepo wa klabu ya FC Barcelona na nyota wake Lionel Messi ndio utakaoharibu ndoto hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…