Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo...as in Air Force One ya Trump [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie watu wa Tecno wasumbufu sana. Kwani magufuli ana ndege??
Ndiyo...as in Air Force One ya Trump [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie watu wa Tecno wasumbufu sana. Kwani magufuli ana ndege??
Swali la kawaida japo kwa mara ya kwanza sikuelewa.Kuna mwenzako aliulizwa swali kama hilo, ila kama hakupenda, na hapa hatupendi kukwazana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntabishana na wewe mwakani ukishapokea iPhone yako.Ndiyo...as in Air Force One ya Trump [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiniyeyusha aisee utahama JF...Ntabishana na wewe mwakani ukishapokea iPhone yako.
Haijui raha ya iPhone huyu. Ukiwa na iPhone hata njaa huisi.
Huu uzi inabidi nikautembelee comments zinafurahisha 😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo simu ukiwa nayo roho juu kuibiwa labla uwe unakaa uzunguni.Haijui raha ya iPhone huyu. Ukiwa na iPhone hata njaa huisi.
Tulia Bro, sie wazee iphone hatunaga maneno mingi.Ukiniyeyusha aisee utahama JF...
Maandamano yako yameendaje kule Idodomya leo?
Hujaelewa, "macho yana wivu".Aisee nyinyi ambao akipita mwanamke mwenye msambwanda hata kama ukiwa na mkeo kugeuka ni lazima hiyo,tena mwanamke akizubaaa anafatwa.
Unaibiwa ukiwa wapi? Akiiba atafanyia nini? Siku hizi wezi wenye akili hawaibi iPhone.Hiyo simu ukiwa nayo roho juu kuibiwa labla uwe unakaa uzunguni.