Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Consuela ni dadangu. Halafu ni mpole huwa hana maneno mengi. Usimchefue please...Na mahari yake utayaweza? Unawajua Wairaqw walivyo warembo au unawasikiaga tu? Itabidi uuze hiyo iPhone uhamie kwenye TECNO [emoji16][emoji16][emoji16]Tulia Bro, sie wazee iphone hatunaga maneno mingi.
Sijaenda nimelala kwa Consuela nilichelewa kuamka.