Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

United itaingia uwanjani ikiwa na nguvu baada ya kupenya kwa maajabu katika hatua ya mtoano kwa kuichapa PSG mabao 3-1 jijini Paris licha ya kuchapwa mabao 2-0 katika uwanja wao wa nyumbani Old Trafford.
 
Solskjaer anajua endapo atapoteza katika mechi ya kesho Old Trafford United itakuwa katika nafasi ngumu ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya kusuasua katika ligi.
 
Usilete mambo ya kizungu huku. Utachemsha [emoji16][emoji16][emoji16]
Habari za kupangiana mahali zimepitwa muda. Kwanza ni kama tunawaheshimu sana wazazi kupeleka mahali. Maana mahitaji yote ya binti kipindi chote cha uchumba nagharimika mimi. Kuanzia mavazi, outingi na wakati mwingine natuma pesa huko kwao.
 
53599200_2193186537662209_6224886633184251830_n.jpg
 
Habari za kupangiana mahali zimepitwa muda. Kwanza ni kama tunawaheshimu sana wazazi kupeleka mahali. Maana mahitaji yote ya binti kipindi chote cha uchumba nagharimika mimi. Kuanzia mavazi, outingi na wakati mwingine natuma pesa huko kwao.
Narudia tena. Mambo ya wazungu yaache huko huko. Utachemsha...

Na mablanketi na vitenge vya mashangazi utanunua tu. Na mbuzi ya bibi utatoa. Na pombe ya wazee...na mengineyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kidogo kidogo umebuy movie ya iron man pale Githurai...kufika home unaeka na syke unapata ni msee anapiga pasi hadi mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji97][emoji97][emoji97]
wakenya jameni[emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Back
Top Bottom