Mzee wa liver aliko ni fulu magego [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Naye si muda atasepa. Mnahitaji masaa angalau manane ya kulala ili mkue...
Naona Porto wamelala!
Mwili wa mwanamke una vingi vya kupendezaHahaha yaani uangalie kitu ambacho usicho kipenda mkuu uko serious kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duuu, huo ni mtihani[emoji16][emoji16]Hata kama hayana pazia yaani mfano uwe na mimi apite mwanamke ugeuke uwiii naivunja shingo [emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16]Alikuwa anajua kuwa kuangalia ni kawaida kwa mwanaume. Nilimpenda sana kwa hilo na sikuwahi kucheat muda wote niliokuwa naye...siyo hawa visirani mpaka msambwanda unameng'enyuliwa hapo pembeni mwanaume umejikaza usigeuze shingo eti utamvunjia heshima. Heshima mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wivu ukizidi ni maradhi na maradhi ya wivu hayana dawa.Sio kisirani tatizo wivu
Naweza kugeuka nitazame miguu, kifua au hata kiuno cha flat screen.Aisee sisi flat screen naona tuna nuksi [emoji3][emoji3]
Waongo, wanadhani wanaume wote hapa wanataka model, kwahiyo wengi hudai flatWanawake wote hapa JF wanadai ni flat screen. How is this possible?
Mahali yataendelea kuwepo maana yanatufanya tukumbuke Mila na desturi zetu kama waafrika.Habari za kupangiana mahali zimepitwa muda. Kwanza ni kama tunawaheshimu sana wazazi kupeleka mahali. Maana mahitaji yote ya binti kipindi chote cha uchumba nagharimika mimi. Kuanzia mavazi, outingi na wakati mwingine natuma pesa huko kwao.
"Ukagone vyedi" Kesho nayo ni siku.Jamaniii wazigua tunakamsemo kwamba "Mgone vyedi" usiku mwema tukijaliwa ishaalah.
Ahaa, hapo sawa, ingawa hapo napo inategemea tamaa na desturi za baadhi ya familiaHivi vitu vinajulikana, nazungumzia ile kiasi cha pesa kinachotajwa kama mahali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver aliko ni fulu magego [emoji16][emoji16][emoji16]
Wamelala, acha tukaone kwao kama wataweza kupindua mezaNaona Porto wamelala!
Jamaniii wazigua tunakamsemo kwamba "Mgone vyedi" usiku mwema tukijaliwa ishaalah.