Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa unadhifu huo atakuwa ticha wa lugha... Lugha yenye matamshi yenye radha ya sauti kuisikia na anaijulia vilivyo.

Napenda ualimu, nashangaa kwanini wenyewe haunipendi [emoji1][emoji1][emoji1]
Haukupendi au hujaamua? Mimi kila ninapokwenda lazima nifundishe - hata kama ni chekechea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…