Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapo sawa. Ila hata hizi natural remedies zinasaidia sana...na madhara yake (kama yapo) ni kidogo sana. I like them...hata kama ni placebo effect...Suffer ...Drink Fluids ...Wait 7 days yaishe basi .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hapo sasa. Nasubiri kuona atasemaje...Wote humu?!!! Mwakaleli-Tukuyu ipo ndani ya Tanganyika.
Huwa unapendelea kumung'unya maparachichi kutoka Mwakaleli? Ninayo na ninatoa bila hiana binti mcheshi, je, utayahitaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hapo sasa. Nasubiri kuona atasemaje...
🤐🤐🤐👀
Na baridi huwa inasaidia sana kwenye hii shughuli za maparachichi. Nikuletee ulionje mama?Bwana we.. kumbe upo huko.
Baridi je?
Asante nashukuru... yananenepesha sana hayo siyaweziNa baridi huwa inasaidia sana kwenye hii shughuli za maparachichi. Nikuletee ulionje mama?
Nakushukuru kwa kushukuru. Naomba nijitetee kidogo,parachichi langu ni kweli linanenepesha, ila halichukizi, linakufanya uwe na furaha zaidi na zaidi kadri siku zinavyo songa... Tumia mara moja tu ujiridhishe, sawa mama?Asante nashukuru... yananenepesha sana hayo siyawezi
Enheeee Sampuli hizi ndio maisha ya furaha ya mwanaume yanapo patikana sasa... Yaani hilo linundu la kwenye paja... baasiiii...
Nakushukuru kwa kushukuru. Naomba nijitetee kidogo,parachichi langu ni kweli linanenepesha, ila halichukizi, linakufanya uwe na furaha zaidi na zaidi kadri siku zinavyo songa... Tumia mara moja tu ujiridhishe, sawa mama?
Je, upo tayari nililete?