Aisee labla kwako'thanks' zako hazionekani labda kwa darubini........
safi sana..kijaniii..
Hahaha ni kweli kabsa,game ilijaa presha mwanzo mwsho,hatukuona mpira mzuriIts a good thing, naona hata hapa Ofisini atmosphere juu ya United Supporters ipo shwari kiaina.