Watu wenye roho mbaya wanaishi sana Dunia, kipindi chote hicho hata umauti hauwafiki...Kwa mfano madikteta wawili Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea na rafiki yake Dikteta Denis Sousou Nguesou wa Jamuhuri ya Congo, wameanza kutawala mwaka 1979.
Na mpaka sasa hawana dalili za kuachia madaraka. 40yrs a go, watu kama hawa wakiporwa madaraka kimabavu na kunyongwa shingo zao nitaanzaje kupata huruma!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!
Unataka kufa πAhsanteni sana kwa likes zenu ππ½ππ½ππ½
Ahsanteni sana kwa likes zenu [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Unataka kufa [emoji3]
Nimemtania[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nimekuuliza swali mkuuπππHahahahaha lol!
Kuwa free mkuu,hapa kuna utani zaidi ya huo,,Nimemtania
Aisee wew nae Kumbe una ukorofiKuwa free mkuu,hapa kuna utani zaidi ya huo,,
Kwenye folder zako huko hauna vituko vya Wasukuma,na kazi navyo hapa[emoji2][emoji2]