Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kuna sehemu nafatilia matirio mapya ya Wasuku,,naona kama yanachelewa [emoji2][emoji2]Natamani kweli kuwatia kwenye iginoa listi ila nashindwa. We na Esta hamfai hata kwa kurumangia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]