Kuna sehemu nafatilia matirio mapya ya Wasuku,,naona kama yanachelewa [emoji2][emoji2]Natamani kweli kuwatia kwenye iginoa listi ila nashindwa. We na Esta hamfai hata kwa kurumangia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji106][emoji106]Maria Sarungi
Si umeambiwa sijui uende huko ukatafute kavulana ka kishua kanahesabu mpaka elfu moja? Yaani nyinyi dah [emoji16][emoji16][emoji16]Haha hata acc sina huko bro
Sawa sawa binti,,komaa naeWhy Ningendako na sio Simba ya Buyenze
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aiseeCAG njoo na uku
Iginoa listi ya dakika moja inakuhusu wallahiKuna sehemu nafatilia matirio mapya ya Wasuku,,naona kama yanachelewa [emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]hyo itakuwa mtoto kapata mtoto mwenzakeKumi na tano [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
TRM,,,Timu Roho Mbaya,,lakini hii TRM mahususi kwa Wasuku tu,,lengo la hii timu ni kupambana na kuibua vituko vya Wasuku popote walipo,,,[emoji2][emoji2]Why Ningendako na sio Simba ya Buyenze
HahahIginoa listi ya dakika moja inakuhusu wallahi