myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndizi ikiwa imeiva au mbichi.
Adhabu hiyo ikiletwa Tanzania hivi sasa unaweza chinja nusu ya raia wakeUfisadi hauwezi kuisha kamwe kwa adhabu za kipumbavu ilitakiwa mtu akigundulika Fisadi anashinjwa live,sio ukiludi ccm huna hatia [emoji34]
Hapa kuna ma group mengi mkuu[emoji16][emoji16]vumilia utayajua yoteHivi hili ni group sikuwahi kujua hili.
Natamani niende kwa babu kumuuliza huyu kiumbe alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa gani isije kuwa ana ugonjwa wa Ndungai [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]mkuu yaonyesha una hasira sana[emoji3][emoji3][emoji3]Afadhali Babu alimtapeli
[emoji16][emoji16][emoji16]akija gundua wanashea timbwili lake si la kawaida[emoji16][emoji16]Wanaume sio watu wazuri. Mwanaume anaweza kupigisha madem 10 mswaki mmoja na kila mmoja anaamini ule mswaki ni wake peke ake. After God fear men[emoji38]

Kwani hii si chit-chat nilijua ni uzi wa changamsha Kumbe group ngoja ni left 🙁Hapa kuna ma group mengi mkuu[emoji16][emoji16]vumilia utayajua yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana mkuu 😠😠😠😠😠
Inasemekana eti ana sukari na za chini ya kapeti inasemekana pia ana ugonjwa wa taifa.