Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jukwaa la siasa umemcheki?Malkia wangu wapi
Jukwaa la siasa umemcheki?Malkia wangu wapi
Nimetembelea naona CAG tuJukwaa la siasa umemcheki?
CAG ndiyo habari ya mjini. Baada ya wiki itakuja kiki nyingine...na ndo itakuwa imetoka hiyo...Nimetembelea naona CAG tu
Nchi ya matukioCAG ndiyo habari ya mjini. Baada ya wiki itakuja kiki nyingine...na ndo itakuwa imetoka hiyo...
Leo umekuwa na busara sana. Hasa nyie maandaeitini. Anzeni kuitunza miili hiyo kungali asubuhi na mapema. Huku uhengani mtakuwa mnapeta tu. Blessings bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama huyo katikati ni Kaguta basi ni wazalendo uchwara tu [emoji16][emoji16]
Huyu naye alikuwa "dikteta" tu. Si kwa misukosuko ile aliyowapa the so called "wahujumu uchumi". Watu wakatupa mpaka Colgate na miche ya sabuni...