"UDART ililipa Mil. 750 kwa M/s. Longway Engineering Services kwa kujenga uzio katika kituo cha mabasi Kimara, Kivukoni, Ubungo na Morocco, hata hivyo, uzio ulijengwa Kimara tu kwa Mil. 241.69 wakati hakukuwa na ujenzi wa fensi katika vituo vingine vitatu vilivyotajwa" CAG https://t.co/PjGrS8es0J
"Nilibaini kuwa Sh. bilioni 5.35 za TRA hazikuripotiwa kwenye taarifa za fedha za UDA kama sehemu ya deni lake. Deni hili lilithibitishwa na TRA kupitia barua yenye Kumb. Na. TRA/CCE/C/1 ya 31/1/2018" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/raeQENh8fv
"Serikali kupitia Msajili wa Hazina ina hisa 3,488,651 ktk kampuni ya UDA ni sawa na 49% ya hisa zilizotolewa na kulipiwa, hisa za Serikali ni kati ya Bil. 2 na Bil. 4.32, Serikali haijawahi kupata gawio lolote kutokana na uwekezaji huu ktk UDA tokea kuanzishwa kwake" CAG https://t.co/zkeyLENDEm
"Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linadaiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kodi ya ongezeko la thamani lenye jumla ya Sh. bilioni 2.27, ukiondoa adhabu" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/dX3QsQrZXS
"NSSF iliwekeza kiasi cha Sh. bilioni 47.5 kwa kununua hisa 64,000,000 za Vodacom zikiwa na faida iliyo chini ya faida kutoka dhamana za Serikali, kinyume na mwongozo wa uwekezaji" CAG
#MillardAyoUPDATES
"Nilibaini Taasisi 11 za umma ambazo zilinunua bidhaa na huduma bila kudai stakabadhi za kielektroniki (EFD), na nyingine ziliuza bila kutoa stakabadhi za kielektroniki (EFD)" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/Tq4Q26J3hM
"TTCL haijalipa kodi ya huduma (excise duty) Sh. milioni 234.41 tangu mwaka 2015 kutokana na kutokukamilika kwa usuluhishi kati ya TRA na TTCL" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/yiDkvqAJZn
"Nilibaini migogoro ya kodi za mapato kati ya Mashirika ya Umma na TRA, Mashirika hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania, RAHCO, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na Shirika la Simu Tanzania (TTCL)" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/1txQdm19oh
NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.
Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea kwa uhuru kiasi kwamba wengine hufikia hatua ya kuvua na kutembea peku.
Leo hii napenda kukujuza madhara ya uvaaji wa wa viatu virefu.Kwa kawaida, miguu ya binadamu hasa visigino, vimeumbwa ili kuuzuia uzito wa mwili juu ya ardhi.Uvaaji wa viatu virefu hufanya uzito wa mwili kubebwa na kisigino, hivyo uzito wa mwili kushindwa kuhimili uzito wote.
Matokeo yake husababisha misuli na mishipa ya miguu, kiuno, mgongo na shingo kufanya kazi kubwa ya kujaribu kusawazisha uzito.Kazi ambayo kwa kawaida hufanywa na visigino.Tatizo hilo hupelekea kiuno,Miguu na mgongo kuwa katika hatari ya matatizo ya kiafya pamoja na kuteguka na kuvunjika miguu.
Matokeo yake husababisha misuli na mishipa ya miguu, kiuno, mgongo na shingo kufanya kazi kubwa ya kujaribu kusawazisha uzito.Kazi ambayo kwa kawaida hufanywa na visigino.Tatizo hilo hupelekea kiuno,Miguu na mgongo kuwa katika hatari ya matatizo ya kiafya pamoja na kuteguka na kuvunjika miguu.
Visigino virefu hubadili muundo wa mifupa ya miguu, hivyo hupelekea magoti na misuli ya mapaja kufanya kazi ya ziada ili kuupa mwili usawa.Kwa kuwa misuli inafanya kazi kubwa, uwezekano wa kupatwa na maumivu makali ya miguu na kushindwa kutembea katika siku za baadae huwa mkubwa zaidi.
Visigino virefu husababisha maumivu ya visigino, damu kuvilia ndani ya miguu, mpangilio wa mifupa ya vidole kuvurugika, mishipa na misuli ya mapaja kuuma, neva za fahamu kufungana na kushindwa kufanya kazi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.