[emoji4][emoji4][emoji4]I see you! I see you VE! Very good taste
huku zinagawiwa kama wewe utakavyogawa...Sijawahi kuja huku kwenye huu Kwenye Uzi na Nina shida na likes nipeni
Nakubali Guinness record buku wetu wa jfJe, wajua kama huu uzi una VIEWS 10 millions? Kama ulikuwa hujui sasa unajua kwamba huu ni uzi ambao umeangaliwa na watu wengi kuliko uzi wowote ule mwingine hapa jamvini.
Poti niaje