myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
08:54
Habari za asbh mkuu08:54
Poti niaje
Yap ndio habari ya mjiniMtu anayezungumzwa zaidi Tanzania kwa sasa Prof Mussa Assad CAG (kulia kwa picha)View attachment 1069203
Chief √
Chai ya iriki na mihogo ya kuchemsha na kachumbaliasubuhi ya chai
Karibu sana mkuuSijawahi kuja huku kwenye huu Kwenye Uzi na Nina shida na likes nipeni
Safi kabisa poti mnaninyima raha mnaweza sababisha nikakosa EPL kwa mwaka wa 30Poa kabisa poti. Niaje huko?
Safi kabisa poti mnaninyima raha mnaweza sababisha nikakosa EPL kwa mwaka wa 30
Dua baya mdrop points tu
Hahaha wacha nizoee mazingira najua nitapa tabu kwa NumbisaUsijipe matumaini poti, ubingwa hampati! Ni afadhali uanze kuizoea hiyo hali halisi. Jitahidini tena msimu ujao! [emoji1][emoji1]
salama kabisa, sijui kwako...Habari za asbh mkuu
Gr8 kwa kweli maisha yasongasalama kabisa, sijui kwako...