Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni afadhali kubishana na mashabiki wa Liverpool kuliko wa Man U? Wapi ni matata zaidi?Hahahaha
safi hiyooWanaume tutafuteni pesa tu. Mengine yote ni mbwembwe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1069466
Duh!"Serikali kupitia Msajili wa Hazina ina hisa 3,488,651 ktk kampuni ya UDA ni sawa na 49% ya hisa zilizotolewa na kulipiwa, hisa za Serikali ni kati ya Bil. 2 na Bil. 4.32, Serikali haijawahi kupata gawio lolote kutokana na uwekezaji huu ktk UDA tokea kuanzishwa kwake" CAG https://t.co/zkeyLENDEm
aisee........."Nilibaini Taasisi 11 za umma ambazo zilinunua bidhaa na huduma bila kudai stakabadhi za kielektroniki (EFD), na nyingine ziliuza bila kutoa stakabadhi za kielektroniki (EFD)" CAG
#MillardAyoUPDATES https://t.co/Tq4Q26J3hM
hatari sana"NSSF iliwekeza kiasi cha Sh. bilioni 47.5 kwa kununua hisa 64,000,000 za Vodacom zikiwa na faida iliyo chini ya faida kutoka dhamana za Serikali, kinyume na mwongozo wa uwekezaji" CAG
#MillardAyoUPDATES
duh!! umakini unahitajika...kuua mazalia ya mbu