uko kama mimi mkuuShark week kwenye discovery channel huwa siikosi kila mwaka. Ni mojawapo ya viumbe wanaovutia sana...
Norway laivu kwenye diaspora conference. Natamani mwanaharakati wetu Capital wetu atokee hapo atembeze kichapo [emoji16][emoji16][emoji16]Chai zinanyweka ughaibuni.
Mambo ya CAG mtajuana wenyeweView attachment 1069597
Huyu Dr lazima atakuwa amesoma Harvard School of Medicine au John Hopkins. Anaijua kazi yake vyema [emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaha hapo mm simoKama huyo katikati ni Kaguta basi ni wazalendo uchwara tu [emoji16][emoji16]
Definition ya dikteta hasa ni nnHuyu naye alikuwa "dikteta" tu. Si kwa misukosuko ile aliyowapa the so called "wahujumu uchumi". Watu wakatupa mpaka Colgate na miche ya sabuni...
Kabisa mkuuWanaume tutafuteni pesa tu. Mengine yote ni mbwembwe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1069466
Anapatikana bahari ipiThe tiger shark is the second most dangerous shark in the world. It is sometimes called the ‘garbage can of the ocean’ because this shark can eat anything and not only animals. This shark was once found earring a chicken poop with the remains of feathers and bones in its mouth.