Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weekend imeanza Bro, Vipi week ako imeisha vyema lakini?
Kila kitu kwa sasa kiko shwari. Ila ukifikiria jinsi mamiili yetu haya yalivyo kompliketedi, anything can happen at anytime. Cha muhimu ni kufurahia every moment with our loved ones kwa kadri inavyowezekana.

Huko kwako vipi? Uliweza kujisogeza kwa hao jamaa wa diaspora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…