Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi inawezekanaje kuwa na mafyekero 10? Nimejaribu kutengeneza moja hapa naambiwa eti The email you have entered is already in use. Sasa hao wanaokuwa na mafyekero 10 wanafanyeje? Ina maana wana email 10 pia? Anayejua anifafanulie please. I need fyekero ASAP [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nini kimekuhamasisha hivyo? Ni likes tu au kuna kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekua week poa sana nashukuru. Diaspora mambo mengi! Hatuwezani.
 
Nini kimekuhamasisha hivyo? Ni likes tu au kuna kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Natania tu sis. Hata muda huo ninao basi? Na sasa kwenye uzi huu nadhani ni mazoea na matani zaidi na mabros na masis hapa. Tumeshakuwa kama ndugu. Uzi huu kwangu umenisaidia sana kwani I went through the darkest period of my life here na watu wa hapa walinisaidia sana. Kwa wengine uzi huu ndo therapy; na kuna watu hapa sitawasahau kamwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Fyekero, muone Fragaria Bro.
 
SAFISHA NGOZI YAKO:
Hakikisha ngozi yako inakuwa safi muda wote. Unaweza kutumia njia mbalimbali kama vile kuondoa ngozi zilizokufa mara kwa mara. Kuondoa mafuta yaliyogandamana katika ngozi kwa kufanyia masaji ngozi yako ili kurahisisha mzunguko wa damu yako.
Ikiwa hili litafanyika kwa umakini ni wazi kuwa matatizo ya kuwa na chunusi au weusi katika ngozi yako havitakuwepo kwako.
 
3. USIPAKE VIPODOZI MARA KWA MARA:
Tumia vipodozi pale inapobidi, usipendelee kutumia vipodozi mara kwa mara kwani wakati mwingine matumizi ya mara kwa mara ya vipodozi, husababisha madhara katika ngozi yako, hasa unapotumia bila kufuata maelekezo ya wataalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…