[emoji818][emoji818][emoji818]
IndeedNatania tu sis. Hata muda huo ninao basi? Na sasa kwenye uzi huu nadhani ni mazoea na matani zaidi na mabros na masis hapa. Tumeshakuwa kama ndugu. Uzi huu kwangu umenisaidia sana kwani I went through the darkest period of my life here na watu wa hapa walinisaidia sana. Kwa wengine uzi huu ndo therapy; na kuna watu hapa sitawasahau kamwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji818][emoji818]5. FANYA MAZOEZI YA VIUNGO:
Hakikisha mazoezi yanakuwa sehemu ya maisha yako, hii itasaidia kukufanya uonekane siyo tu mrembo, bali pia mwenye kujiamini.
Indeed wallahi mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo nimeshahamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]