mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha ndio habari ya mjini lakini Leo naona wanafungua Rasmi mji wa kiserikali huko mtumba wanazima kiki ya CAG kiainaKwema huko Idodomya mkuu? Nisalimie CAG [emoji16][emoji16][emoji16]
Super
Kwenye siasa hiyo inaitwa kuhamisha magoli. Ni mbinu kongwe katika siasa na maisha kwa ujumla...Hahahaha ndio habari ya mjini lakini Leo naona wanafungua Rasmi mji wa kiserikali huko mtumba wanazima kiki ya CAG kiaina
Eeeh Mungu saidia Simba wakong'oliwe mbili bila!
Itafanya kazi kweli na kuwa effective?Super
Nashukuru sana mkuu nilijua umetingwa na majukumu utakapopata majibu nitag mkuu nimejaribu mm binafsi kupata data zake nimechemkamkuu lile swali kule uchawini nilishindwa kukujibu kwa sababu mpaka muda huu sijapata reference yoyote inayozungumzia maisha ya DOJIN.
hivyo basi usidhani kama nimepuuza ombi lako
AMEN kubwa hahahaahEeeh Mungu saidia Simba wakong'oliwe mbili bila!
Hahahq Buzitata mtata kweliNaye anakujaga mara moja moja. Pamoja na Buzitata (halichunwi hata kwa limbwata la Kitanga).