Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sipati picha nakutana na hilo dude hapo juu. Hapo anawinda sio? Manake likiwa limeshiba hujificha mashimoni na vichakani hasa.
Huyu ni chatu. Yeye ni constrictor na hana sumu. Wakati wa jua kali huwa anatafuta kivuli na kujipumzisha. Na akimeza windo (hasa kama ni kubwa) huwa anabakia hapo hapo mpaka digestion ikamilike. Polite and majestic...
 
Je, wajua wanawake wanalia mara 30 mpaka 60 kwa mwaka wakati wanaume wanalia angalau mara 6 mpaka 17 tu kwa mwaka?

View attachment 1070398
Kwa mwaka? Unamaanisha kwa mwezi au kwa wiki? Au vile vilio wakati unamgegeda havihesabiki? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwa wanaume hiyo namba ni kubwa sana though...@Moudgulf hajawahi kulia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…