Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo porini mbali,akina nani hao?
Hahahahah acha hizooLipuli United! [emoji1]
Hahahahah acha hizoo
Bahati nzuri maombi yako huwa mazuri mno kwa man u[emoji23][emoji23]GO WHU! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hapana mkuu. TECNO yangu ilikorofisha nikapoteza kila kitu. Ila nina wasiwasi naye sana. Tusije tukawa tunacheka na kufanya matani hapa kumbe mwenzetu anaumwa au ana matatizo mengine. I pray that yuko salama huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu najua una access nae, hebu mchungulie mara moja. Faraja ni tiba
Watu wanapitia shida sana kuwa na hizi shepu za bandia. Halafu sipati picha wakizeeka. Sijui itakuwaje masikini...Hatahivyo, Cardi B amefichua kwamba kabla ya kuingia katika fani ya muziki aliongezewa makalio huko mjini New York na kifaa alichowekewa ndani kilivuja kwa siku tano baadaye.
HahahaMkuu hawa nawamiliki mwenyewe nalia kivulini sasa hivi baada ya kulima juani mmoja alinipiga dollar za kutosha lakini sasa nakula za kwake
Yanatepeta balaa,ila ya wema kiboko bado kijana ila yamerendemka halafu mareefuuuuWatu wanapitia shida sana kuwa na hizi shepu za bandia. Halafu sipati picha wakizeeka. Sijui itakuwaje masikini...
Barca shuaini zao,mechi yao wamempumzisha messi
Jamaa wanakanyagana huko kutoa namba na kuomba kwenda PM. Ila wengi wamekuwa waungwana na wanatoa ushauri wa kistaarabu. Ila jamaa amejieleza vizuri sana mpaka anatia huruma yaani. Yawezekana kweli kuna watu wanazaliwa hivyo. Mungu Atamsaidia kama kweli ana nia ya kuachana na hiyo hali..I am Gay! Nimechoka kuhukumiwa kwa kosa lisilo langu - JamiiForums
Ahsante mkuu. Kusema ukweli sijawahi kusoma hizo shule same sex boarding schools na siwezi kuliongelea kiundani. Hata chuo ilitokea tu maana mnaweza kukutana watu wawili lakini hamna mwenye ujasiri wa kumuanza mwenzie maana wote mnakuwa na hofu ya kuwa yawezekana mwenzangu hajihusishi. Chaka...www.jamiiforums.com
Jamani. Uliyaona wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]Yanatepeta balaa,ila ya wema kiboko bado kijana ila yamerendemka halafu mareefuuuu