Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455921348_183156.jpeg
 
Wamasai wajanja na wana system yao ya kuwapatia damu (gibulanga) na maziwa bila kuwadhuru ng'ombe. Na mara nyingi wanakula nyama za kuwinda na wanyama wadogo kama mbuzi na kondoo. Huwezi kuwa unachinja ng'ombe tu kila unapojisikia ohoo !!!
Hapa ndipo napopata tabu, mfugaji anaweza kumaliza mwaka asichinje hata ng'ombe.
Hakuna Siku ya Idd, Pasaka wala Cristmass, wao ni mwendo wa mboga, mboga na wao. Na hii si kwa wasukuma tu, masai,mang'ati na wengine mwendo huo huo.
Ukiona nyama amechinjwa, jua alikua mgonjwa mahututi au kajifia mwenyewe.
Ni shidaa
 
Hapana mkuu. TECNO yangu ilikorofisha nikapoteza kila kitu. Ila nina wasiwasi naye sana. Tusije tukawa tunacheka na kufanya matani hapa kumbe mwenzetu anaumwa au ana matatizo mengine. I pray that yuko salama huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Nilipofiwa na mama alinisaidia sana kwa ushauri wa kitaalamu mno. Ana moyo wa huruma sana. Sitakaa nisahau [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna magumu. Mungu awe upande wake [emoji120][emoji120]
 
Hapa ndipo napopata tabu, mfugaji anaweza kumaliza mwaka asichinje hata ng'ombe.
Hakuna Siku ya Idd, Pasaka wala Cristmass, wao ni mwendo wa mboga, mboga na wao. Na hii si kwa wasukuma tu, masai,mang'ati na wengine mwendo huo huo.
Ukiona nyama amechinjwa, jua alikua mgonjwa mahututi au kajifia mwenyewe.
Ni shidaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'ombe anauzwa sh ngapi? Na hata ukimchinja hutamla peke yako. Ni laziwa uwapatie pia majirani na ndugu wa karibu. Wengi huwa wanaona afadhali tu kununua nyama au kuwinda kama wanahitaji nyama kuliko kuchinja dume la ng'ombe ambalo unaweza kuliuza ukapata hata laki 4 ukatatua shida kibao.

Naamini hata wao wanapenda sana kula nyama. Lazima kuna sababu. Safari nyingine ukiwa huko jaribu kuwauliza ila kwa Wasukuma sababu ni kama hizo juu. Na hapo bado kuna presha ya vijana wa kiume kuoa. Ng'ombe atachinjwa saa ngapi wakati anapigiwa mahesabu ya mahari?
 
Back
Top Bottom