Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Bahati nzuri maombi yako huwa mazuri mno kwa man u[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]nasubiri tuuWe subiri tu! [emoji23][emoji23]
Kuna video kibao alipokua taifa siku ya ile mechi ,darubin ya ubuyu iliyanasaJamani. Uliyaona wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha apumzike tu ... Hii link ina stuck natamani kulia hapa.Barca shuaini zao,mechi yao wamempumzisha messi
Aiseee. Basi pole zake wallahi. Natamani siku moja darubini zinyake ya Zali [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kuna video kibao alipokua taifa siku ya ile mechi ,darubin ya ubuyu iliyanasa
Hapa ndipo napopata tabu, mfugaji anaweza kumaliza mwaka asichinje hata ng'ombe.Wamasai wajanja na wana system yao ya kuwapatia damu (gibulanga) na maziwa bila kuwadhuru ng'ombe. Na mara nyingi wanakula nyama za kuwinda na wanyama wadogo kama mbuzi na kondoo. Huwezi kuwa unachinja ng'ombe tu kila unapojisikia ohoo !!!
Kuna magumu. Mungu awe upande wake [emoji120][emoji120]Hapana mkuu. TECNO yangu ilikorofisha nikapoteza kila kitu. Ila nina wasiwasi naye sana. Tusije tukawa tunacheka na kufanya matani hapa kumbe mwenzetu anaumwa au ana matatizo mengine. I pray that yuko salama huko aliko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nilipofiwa na mama alinisaidia sana kwa ushauri wa kitaalamu mno. Ana moyo wa huruma sana. Sitakaa nisahau [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ng'ombe anauzwa sh ngapi? Na hata ukimchinja hutamla peke yako. Ni laziwa uwapatie pia majirani na ndugu wa karibu. Wengi huwa wanaona afadhali tu kununua nyama au kuwinda kama wanahitaji nyama kuliko kuchinja dume la ng'ombe ambalo unaweza kuliuza ukapata hata laki 4 ukatatua shida kibao.Hapa ndipo napopata tabu, mfugaji anaweza kumaliza mwaka asichinje hata ng'ombe.
Hakuna Siku ya Idd, Pasaka wala Cristmass, wao ni mwendo wa mboga, mboga na wao. Na hii si kwa wasukuma tu, masai,mang'ati na wengine mwendo huo huo.
Ukiona nyama amechinjwa, jua alikua mgonjwa mahututi au kajifia mwenyewe.
Ni shidaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuja PM ndugu yangu. Sikulijua hili [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna magumu. Mungu awe upande wake [emoji120][emoji120]
Acha apumzike tu ... Hii link ina stuck natamani kulia hapa.
Ya zari yapo vizuri kila weekend anayaanika ndani ya bikiniAiseee. Basi pole zake wallahi. Natamani siku moja darubini zinyake ya Zali [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna link nyingine ya CR7 nimeiona kwenye uzi wa man uTry this
Duuuu mkuu tafadhali bhana, ninavyojua hapo Dom ndiyo ngome yao tangu zama hizo.Huu wimbo ukiimba hapa makao makuu ya chama unaweza pigwa mawe watu wamechoka mbaya
Hapa kazi
Wengine hatupo jukwaa La wakubwa kutotaka mapicha dizaini hiiYaani hadi kwa wajawazito sasa!
Kuna link nyingine ya CR7 nimeiona kwenye uzi wa man u