myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Vumilia tu Hawachi. Ndo ishu za mitandaoni humu. Kila mmoja akitaka ambacho hakipendi kisiwekwe basi hakuna kitakachowekwa. Mwingine ataweka picha za nyoka huyu atalalamika. Mwingine ataweka picha za Lucifer huyu atalalamika. Hata picha za mabondia wakipigana lazima kuna mtu atalalamika. Hata watoto eti wanakuwa exploited. Tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namnaHuwaga hata siamini kama hata wew unalusha picha za aina hii serious[emoji848]
Humu watu wanajiachia Hawachi.. waache tuwaone fantasies zao.. In real life wako siriasi mpaka basi...Huwaga hata siamini kama hata wew unalusha picha za aina hii serious🤔
🤣🤣🤣 Jamani si umejenga jina.. ndio fans wako hao wana high expectations...What is the problem? Please share why not ME!!!!
Muwekee hata hii tuone kama atafurahi. Shuaini zake [emoji1][emoji1][emoji1]Image nitume picha ya mwanaume mwenye mshipa utajisikiaje?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani haiwezekani mkuuKukutana na mimi [emoji848]
Si ajabu kiazi cha Kisukuma hiki [emoji16][emoji16][emoji16]Muwekee hata hii tuone kama atafurahi. Shuaini zake [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1070777
Na ambao hatuna fans tunafanyeje? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani si umejenga jina.. ndio fans wako hao wana high expectations...
Umenikumbusha Mange akichamba.. watu wanamkataza ..alivyokuwa anawapinga...
Muwekee hata hii tuone kama atafurahi. Shuaini zake [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1070777
Thenki yuuuuuuuuuuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Humu watu wanajiachia Hawachi.. waache tuwaone fantasies zao.. In real life wako siriasi mpaka basi...
Mie humu nilivyo na kwenye real life ndiyo hivyo hivyo. This is 2019 Fragaria and not 1947 and life is too short so enjoy it.
Ubuyu kwelikweliUbuyu wako huu Esta...Nimegongana nao mitaani kwa bahati mbaya [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1070603
🤣🤣🤣 Jamani si umejenga jina.. ndio fans wako hao wana high expectations...
Umenikumbusha Mange akichamba.. watu wanamkataza ..alivyokuwa anawapinga...