Fragaria wakati the one and only hayupo utachukua nafasi yakeHahahaaa...
Mkuu nalike tu nitasoma baadayeHealth is Wealth
Musk Melon is rich in Vitamin C.
It helps boost the immunity by stimulating the White Blood Cells
Huyo ni binti yetu yupo humu humu, ni ana fujo balaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Dah! Sikujua hilo Mkuu hahahahaha akitoka hapo ni hoi bin taaban rhythm ya music imempiga chenga kabisa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uzi wetu unatupa raha sana
Hakika.Sana aisee na ndiyo sababu bado uko very popular karibu mwaka wa pili sasa.
Unayechat nae kaniweka ignoa list kuna joto humu uwiii hadi picha za kwenye noti zimevua shati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uzi wetu unatupa raha sana