mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu umeshakutana misambwanda ya bandia katika pita pita zakoWatu wanapitia shida sana kuwa na hizi shepu za bandia. Halafu sipati picha wakizeeka. Sijui itakuwaje masikini...
Mkuu umeshakutana misambwanda ya bandia katika pita pita zakoWatu wanapitia shida sana kuwa na hizi shepu za bandia. Halafu sipati picha wakizeeka. Sijui itakuwaje masikini...
HahahahaHahaha
Unayechat nae kaniweka ignoa list kuna joto humu uwiii hadi picha za kwenye noti zimevua shati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnalo hiloBarca shuaini zao,mechi yao wamempumzisha messi
Hakika.
Tujipongeze sisi wenyewe kwa upendo tulio jijengea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza mauchokozi yako! [emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli ankoo?!!Unayechat nae kaniweka ignoa list kuna joto humu uwiii hadi picha za kwenye noti zimevua shati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweliii,sijui nimeharibu wapi aah tatizo nna ligi nyingi mnoKweli ankoo?!!
Namjua BAK ni mwaka wa nne sasa, sio wa kukaa na mambo kifuani, sijui mlipishana wapi?! Nakumbuka mlikutana KT na mliyamaliza kabisa, nini mbaya tena...
Hapana sio uchokozi, atakuwa haipendi hiyo haliUmeanza mauchokozi yako! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mtag kichwa kichafuIla sielewagi kwanini machangudua wa Tanzania wamekuwa vibaka wa kutisha, mwenye uzoefu aulete hapa tujifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaWe umejuaje kuwa ni vibaka wa kutisha? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
OGSPoor United this form is just bad
IndeedVery poor performance
Kabisa Mkuu na sioni speed ya uzi huu kupungua anytime soon.
Siyo kukutana nayo tu bali hata kuishika shika. Haina ule ubonyevu bonyevu wa kiasili hata mabunye mabunye yake na ile michirizi ya utamu iko tofauti. Halafu akiinama usishangae moja ukawa na kama ka-angle fulani kamechomoza zaidi kuliko kwingineko. Halafu hata ukiya-slap hakuna mtimbwiliko wa kimawimbi kama tuliyozoea kwenye misambwanda natural. Hii ya bandia ni migumu balaa na hata milio yake ni tofauti sana. Kwa ujumla hakuna mzuka kabisa.Mkuu umeshakutana misambwanda ya bandia katika pita pita zako
Najipoza machungu ya kufugwa Simba mdau wa likes nipo kiwanja kimoja kinaitwa le chasa nkuhungu Dodoma kama kawaida VAT 69 inahusikaWeekend ni motoooo....